Baadhi ya watu waliokwama ambao walishindwa kutoka katika nyumba zao kwenye miji ya Sharjah na Fujairah waliokolewa na askari wa ulinzi wa raia. Fujairah iliathiriwa vibaya kutokana na hali yake ya asili ya milima na miinuko.
Matukio
-
Machi 14, 2025Changamoto za ulezi wa watoto walemavu kiakili Kenya
-
Februari 27, 2025Ethiopia na Somalia waimarisha uhusiano wao
-
Februari 25, 2025Tunamulika umuhimu wa utunzaji afya ya moyo
-
Februari 07, 2025Ugonjwa wa kifafa na changamoto zake katika jamii.