Mjini London Polisi waliwakamata wanaharakati 276 wa kundi la Extinction Rebellion kwa kufunga njia kuu ya jijini London siku ya jumatatu wakati kundi lake likifunga njia muhimu mjini London, Berlin na Amsterdam Oct 7 2019 wakianza malalamiko ya wiki nzima kutaka hatua kuchukuliwa kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa duniani..
Maandamano kutaka hatua kuchukuliwa kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa

1
Mwanaharakati wa kundi la Extinction Rebellion akikaa nje ya jengo la bunge la Uingereza mjini London, siku ya jumatatu wakati kundi lake likifunga njia muhimu mjini London, Berlin na Amsterdam Oct 7 2019 wakianza malalamiko ya wiki nzima kutaka hatua kuchukuliwa kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa duniani. (AP)

2
Waandamanaji wa kundi la mabadiliko ya hali ya hewa la Extinction Rebellion wakikaa kwenye uwanja wa Trafalgar Square kati kati ya London siku ya Jumatatu, Oct. 7, 2019. (AP)

3
Walinda mazingira wa kundi la wakikabiliana na polisi kwenye daraja la Lambeth bridge kati kati ya London Jumatatu, Oct. 7, 2019. (AP )

4
Watetezi wa mabadiliko ya hali ya hewa wakifunga njia kuelekea jengo la bunge la Uingereza mjini London siku ya Jumatatu, Oct. 7, 2019. (AP)