Mjini London Polisi waliwakamata wanaharakati 276 wa kundi la Extinction Rebellion kwa kufunga njia kuu ya jijini London siku ya jumatatu wakati kundi lake likifunga njia muhimu mjini London, Berlin na Amsterdam Oct 7 2019 wakianza malalamiko ya wiki nzima kutaka hatua kuchukuliwa kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa duniani..
Maandamano kutaka hatua kuchukuliwa kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa
5
Mtoto aliyekuwa akicheza kwenye ufukwe wa Copacabana beach mjini Rio de Janeiro, Brazil, pamoja na familia yake waungana pamoja na watu wengine wanaoshikana mkono kuonesha umoja katika vita dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa duniani siku ya Jumatatu, Oct. 7, 2019. (AP)
6
Watetea mabadiliko ya hali ya hewa wakikusanyika katika mtaa wafedha wa New York, Wall St in wakati wa malalamiko ya kundi la Extinction Rebellion October 7, 2019. REUTERS
7
Mtoto ahudhuria malalamiko ya kundi la Extinction Rebellion kwenye ufukwewa Copacabana beach mjini Rio de Janeiro, Brazil Oct. 7 de 2019. AP.
8
Mtu aliyeva kama kinyago akishiriki katika malalamiko ya kundi la Extinction Rebellion mjini Paris, Ufaransa October 7, 2019. REUTERS