Baada ya kupoteza mifugo yao, wakazi wa eneo la Karamoja, Uganda wanageukia uchimbaji wa kiwango kidogo cha dhahabu kuweza kumudu maisha yao duni.
Uchimbaji dhahabu unaongezeka Karamoja Uganda

1
Mchimbaji anatumia chuma kuchimba mchanga, ambao atakusanya na kuchanganya na maji na kung'uta ili kupata dhahabu, March 2, 2014. (Hilary Heuler for VOA)

2
Familia ya Livinstone Ekiru iliwahi kuwa na mifugo mingi kabisa, lakini hivi sasa anajaribu kukidhi mahitaji ya maisha kwa kutafuta dhahabu,March 2, 2014. (Hilary Heuler for VOA)

3
A Mtu na mkewe ndani ya shimo walochimba kwa mikono yao huko Karamoja, March 2, 2014. (Hilary Heuler for VOA)

4
Wachimba mgodi wawili wakiyenyeji wachimba shimo katika eneo la mto ulokauka huko Karamoja, Uganda, March 2, 2014. (Hilary Heuler for VOA)