Mlipuko wa ugonjwa wa Ebola Afrika Magharibi umesababisha wananchi, maafisa wa afya na serikali kuchukua hatua kadha za kinga kuepuka kuenea kwa ugonjwa huo.
Picha za adha ya mlipuko wa Ebola, Afrika Magharibi
5
Mwili wa mtu uliopatikana mitaani, watuhumiwa kufa kutokana na virusi Ebola ni kufunikwa na kuondolewa na wanfanyakazi wa afya, Monorovia.
6
Polisi wa Liberia wamevaa nguo ghasia kutawanya umati wa watu uliozuia barabara kuu baada ya mwili wa mtu aliyetuhumiwa kufa kutokana na virusi vya Ebola kubaki katika mtaani bila kuondolewa na wafanyakazi wa afya,Monorovia,Agosti 14,2014
7
Mfanyakazi wa afya anapima joto abiria uwanja wa ndege wa Felix Houphouet Boigny Abidjan,Ivory Coast, Agosti 13,2014.
8
Wafanyakazi katika uwanja wa ndege wa Abidjan wakijilinda kutokana na kuenea kwa virusi vya Ebola,Agosti 12.