Mlipuko wa ugonjwa wa Ebola Afrika Magharibi umesababisha wananchi, maafisa wa afya na serikali kuchukua hatua kadha za kinga kuepuka kuenea kwa ugonjwa huo.
Picha za adha ya mlipuko wa Ebola, Afrika Magharibi
1
Mkono wa mwanamke kuonyesha madhara ya virusi Ebola
2
Liberia vikosi vya usalama vyazuia eneo karibu na kituo cha west point Ebola kama serikali katika juhudi za kuzuia kuenea kwa virusi vya Ebola katika mji wa Monrovia,Agosti,20,2014.
3
Watoto wazunguka mtu anayetuhumiwa kuwa ameambukizwa virusi vya Ebola Monorovia,Agosti,20,2014.
4
Afisa afya Nigeria amevaa kinga kusubiri kwa abiria katika waliofika uwanja wa ndege wa Murtala Muhammed Lagos.