Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Februari 06, 2023 Local time: 05:14

Kundi la G7 laanza kuibana Russia isitumie mafuta kufadhili vita vyake Ukraine


Kundi la G7 laanza kuibana Russia isitumie mafuta kufadhili vita vyake Ukraine
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:29 0:00

Kundi la nchi saba tajiri maarufu kama G7 limeweka bei ya mafuta ghafi ya Russia hatua hiyo imeanza Jumatatu (Desemba 5) wakati nchi za Magharibi zikijaribu kuibana Moscow isiwe na uwezo wa kufadhili vita yake nchini Ukraine.

Lakini Russia imesema haitaheshimu hatua hiyo hata kama itamaanisha kupunguza uzalishaji wa mafuta. Bei iliyowekwa, ambayo itatekelezwa na kundi la G7, Umoja wa Ulaya na Australia, inakuja kuongezea shinikizo lililoko la vikwazo vya EU kwa bidhaa zinazoingizwa za mafuta... More

XS
SM
MD
LG