Siku 100 za Kumbukumbu ya mauaji ya kimbari Rwanda zaanza
Maadhimisho ya Kumbukumbu ya siku 100 za mauaji ya kimbari yakiendelea huko Kigali, Rwanda. Picha zote kwa hisani ya Ikulu ya Kigali.

1
Rais wa Rwanda akihutubia katika kumbukumbu ya mauaji ya kimbari, Kigali, Rwanda.

2
President Paul Kagame na mkewe Jeanette Kagame wakiwasha mwenge wa kumbukumbu ya siku 100 za mauaji ya kimbari Kigali.

3
Mwenge wa kumbukumbu ya mauaji ya kimbari Rwanda.

4
Rais wa Rwanda na Mkewe Jeanette Kagame wakiongoza wageni waliohudhuria kumbukumbu ya mauaji ya kimbari, mjini Kigali, Rwanda.