Mwandishi wetu aliyeko Qatar Sunday Shomari anaungana na studio za VOA Washington DC, kutuletea yale yanayojiri akieleza timu ya Ghana pamoja na kunyakua ushindi dhidi ya timu ya Korea Kusini bado ilikuwa ikishambuliwa vikali sana. Endelea kusikiliza yaliyojiri...