Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Januari 28, 2023 Local time: 17:07

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani ahudhuria tamasha la watoto


Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani ahudhuria tamasha la watoto
please wait

No media source currently available

0:00 0:00:34 0:00

Papa Francis akihudhuria sherehe za mkutano wa kimataifa wa watoto, Jumamosi, Novemba 30,

Amewakumbushia vijana walioshiriki lengo la elimu ni kujenga mahusiano mazuri baina ya binadamu.
Akizungumza na watoto katika ukumbi wa Paul VI, Papa Francis amesema: “Tunahamasishwa wote kujenga kijiji cha elimu.” Watoto hao walimzawadia Papa blanketi kabla ya Papa kuangalia tumbuizo maalum. (AP).

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG