Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Novemba 30, 2022 Local time: 16:30

Kim Jong Un ajitokeza hadharani baada ya wiki tatu

Watu wakiangalia televisheni inayoonyesha kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un akihudhuria Tafrija ya kukamilika kwa ujenzi wa kiwanda cha mbolea cha Sunchon, katika stesheni ya reli huko Seoul Mei 2, 2020.

Kiongozi huyo wa Korea amejitokeza tena kwa mara ya kwanza baada ya wiki tatu, vyombo vya habari vimeripoti Mei 2, baada ya uvumi mkubwa kuwa Kim alikuwa mgonjwa sana au kunauwezekano kuwa amekufa.

Makundi

XS
SM
MD
LG