Upatikanaji viungo

Ghasia mpya Tana river

Maafisa wa usalama Kenya wanasema takriban watu 39 - wanavijiji 30 na washambulizi 9 -wameuwawa katika mapambano mwpya kati ya watu wa makabila mawili katika wilaya ya villagers Tana River huko Kenya
Onyesha zaidi

Wakazi na polisi watizama miili ya wanaotuhumiwa ni washambulizi kutoka kabila la Pokomo, kufuatia mapambano ya kikabila katika kijiji cha Kipao wilaya ya Tana River Delta kusini mashariki ya Kenya. Dec. 21, 2012.
1

Wafanyakazi wa Msalaba Mwekundi wakimbeba mtu aliyejeruhiwa wakati wa shambulizi katika kijiji chake wilayani Tana River.
2

At least 39 people including men, women, children, and attackers, were killed when farmers from the Pokomo tribe, armed with spears and AK-47 rifles, raided a village of semi-nomadic Orma herders early Friday, according to a police official.
3

Paramedics at the Malindi district hospital attend to a child injured when their community members were attacked at Tana River district in Kenya's coastal Tana Delta region December 21 2012.
4

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG