Maafisa wa Kenya wamekamata shehena nyingine ya pembe za ndovu bandarini Mombasa ikielekea Malaysia kwa mara ya pili katika muda wa chini ya wiki moja.
Kenya yakamata shehena nyingine ya pembe za ndovu

1
Maafisa wa bandari ya Kenya na Idara ya Wanyamapori wakipanga pembe za ndovu katika kontaina kwenye bandari ya Mombasa, July 8, 2013.

2
Afisa wa Idara ya Wanyamapori akishikilia moja ya pembe za ndovu zilizoonyeshwa nje ya bandari ya Mombasa, July 9, 2013.

3
Maafisa wa Idara ya Wanyamapori wakionyesha pembe za ndovu zilizoonyeshwa nje ya kituo cha polisi cha bandari ya Mombasa July 9, 2013.
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Makala Maalum
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Mkutano wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- AFCON 2017