Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 09, 2022 Local time: 09:46

Raila ashambulia Serikali kutokana na Ufisadi


Kiongozi wa Upinzani Kenya,Raila Odinga.

Kiongozi wa muungano wa upinzani wa CORD nchini Kenya Raila Odinga ameambia Serikali ya Jubilee kuwa lazima iongoze kwenye vita dhidi ya ufisadi.

Kiongozi wa muungano wa upinzani wa CORD nchini Kenya Raila Odinga Ijumaa amesema kuwa kashfa za ufisadi nchini zinasambaratisha maendeleao na ukuaji wa uchumi, huku akitaka Serikali ioneshe uwajibikaji katika kumaliza ufisadi.

please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:02:45 0:00
Kiungo cha moja kwa moja


Raila aliyasema hayo wakati akiongoza wafuasi wa upinzani kwenye mikutano ya kisiasa katika mkoa wa Pwani ambapo pia aliweza kuzungumza na wadau kutoka sekta mbali mbali.

Mwandishi wa VOA kutoka Mombasa Josephat Kioko ansimulia zaidi. Bonyeza usikilize.

XS
SM
MD
LG