Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Februari 06, 2023 Local time: 19:20

Moto katika soko la Gikomba

Soko maarufu la mauzo ya nguo la Gikomba mjini Nairobi, Kenya limeungua Jumanne alfajiri na kusababisha hasara kubwa. Soko hilo ambalo huvutia wafanya biashara kutoka kote Afrika Mashariki lilishika moto kuanzia majira ya alfajiri Alhamisi na kuendelea kuwaka kwa masaa kadha.
Soko la Gikomba ni maarufu kwa nguo za mitumba ambazo zinanunuliwa sana na watu wa kipato cha chini koted Afrika mashariki. Wafanya biashara kutoka nchi za jirani hutembelea soko hilo kununua mahitaji yao.

Makundi

XS
SM
MD
LG