Watu 14 wameuawa na wengine wapatao 11 kujeruhiwa katika mashambulizi inayoaminika kufanywa na kundi la kigaidi la al-Shabab katika kijiji kimoja nje kidogo ya mji wa Mandera nchini Kenya.
Mashambulizi ya Mandera Kenya July 07, 2015
1
Madaktari na wauuguzi wakisaidia baadhi ya waathirika wa mashambulizi ya kigaidi Mandera Jumatatu usiku.
2
Wauguzi wakiingiza mtu aliyejeruhiwa ndani ya hospital mjini Mandera.
3
Mmoja wa watu waliojeruhiwa akionekana baada ya kupata matibabu katika hospitali ya Mandera.
4
Maafisa polisi na wa Msalaba Mwekundu wakihudumia watu walioathirika na shambulizi la Mandera.