Rais Magufuli awasili Uganda
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli awasili nchini Uganda kwa ajili ya kushiriki tukio la kuapishwa Rais Mteule wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni, Mei 11, 2016.

1
Rais John Pombe Magufuli akilakiwa na mwenyeji wake Rais Mteule wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni.

2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono kwenye kikundi cha ngoma mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Entebe nchini Uganda.

3
Rais John Pombe Magufuli akikagua gwaride la heshima.

4
Rais Magufuli akizungumza na mwenyeji wake Rais Mteule wa Uganda Yoweri Museveni.