Kandanda Wiki hii, Mei 10, 2013

5
Zlatan Ibrahimovic wa timu ya Paris Saint-Germain na David Beckham wakisherehekea ushindi mwishoni wa michuano ya ligi ya Urfaransa dhidi ya timu ya Olympique Lyon mjiniLyon Mei 12, 2013.

6
Wachezaji wa Chelsea wakisherehekea ushindi wakiwa na kombe baada ya kuwalaza Benfica kwenye finali ya ligi ya Europaikwenye uwanja wa Amsterdam Arena Mei 15, 2013.

7
Lima wa timu ya Benfica asherehekea bao alopachika dhidi ya klabu ya Porto katika mchuano wa ligi ya juu ya Ureno mjini Porto Mei 11, 2013.

8
Aleksandar Kolarov (L), wa Manchester City akiminyana na Romelo Lukaku wa West Bromwich wakati wa mchuano wa ligi ya juu ya Uingereza kweye uwanja wa Etihad mjini Manchester, kaskazini mwa Uingereza, Mei 7, 2013.