Kandanda Wiki hii, Mei 10, 2013

1
David Beckham wa Uingereza anaestahafu akipachika mkwaju wa free kick kusawazisha dhidi ya Ugriki katika mchuano wa kundi la tisa wa kuwania nafasi ya kuigia katika Kombe la Dunia, October 6, 2001.

2
Chelsea's Ramires wa klabu ya Chelsea akijaribu kupachika bao kwa kumchenga Luisao (kulia) wa Benefica katika mchuano wa mwisho wa ligi ya Europa mjini Amsterdam May 15, 2013.

3
Victor Ferreira (mbele) timu ya Real Garcilaso ya Peru akiminyana kunyakua mpira kutoka kwa Efrain Cortes wa timu ya Nacional ya Uruguay wakati wa mchuano wa kombe la Libertadores mjini Montevideo, Mei 9, 2013.

4
Caner Ertekin (kulia) wa klabu ya Fenerbahce akipigania mpira na Aydin Yilmaz wa Galatasaray wakati wa ligi ya juu ya Uturuki katika uwanja wa mpira wa Sukru Saracoglu Istanbul Mei 12, 2013.