Kampeni za uchaguzi DRC zimepamba moto
- Abdushakur Aboud
Wagombea kiti cha rais katika uchaguzi wa Disemba 20 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanazunguka nchi nzima kunadi siasa na sera zao kukiwepo na idadi kubwa ya wafuasi wanaojitokeza kwa mikutano yao.

1
Wafuasi wa rais Felix Tshisekedi wakijifunika kiutokana na mvua wakimsubiri kuwasili mjini Goma Disemba 10, 2023.

2
Wafuasi wa Rais Felix Tshisekedi wamsubirfi kiuwasili mjini Goma Kivu ya Kaskazini kwa mkutano wake wa kampeni za uchaguzi wa rais. Disemba 10, 2023.

3
Wafuasi wa chama cha UDPS wameklusanyika wakisubiri kuwasili kwa rais Felix Tshisekedi kwa mkutano wake kwenye uwanja wa michezo wa Afia mjini Goma

4
Wanajeshi wa kikosi cha Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC-RF) ndani ya ndege tayari kuondoka baada ya muda wao kumalizika huko Jamhuri ya KIdemokrasia ya Kongo Disemba 8, 2023.