Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Machi 28, 2023 Local time: 12:43

Juhudi za uokoaji zinaendelea huku watu 1,500 wamefariki kutokana na tetemeko Uturuki, Syria


Juhudi za uokoaji zinaendelea huku watu 1,500 wamefariki kutokana na tetemeko Uturuki, Syria
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Juhudi za uokozi zinaendelea huku watu zaidi ya 1,500 wamepoteza maisha kutokana na tetemeko kubwa la ardhi la kihistoria kutokea huko Uturuki na Syria

Wananchi wa Goma wamefanya maandamano makubwa Jumatatu na kufunga shughuli za kibiashara wakishinikiza kuondoka kwa MONUSCO na jeshi la Afrika Mashariki nchini DRC.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG