Chini ya mtindo huo, wanawake ambao mara nyingi hawana uwezo wa kupata mikopo kutoka kwa taasisi za fedha, hukopa pesa walizokusanya pamoja. Hii inawawezesha wanawake kuanzisha au kuendeleza biashara zao wenyewe, kukidhi gharama za nyumbani na hata kuwekeza katika elimu ya watoto wao.
Jill Biden, mke wa rais wa Marekani atembelea miradi Kibera, kitongoji cha Nairobi
Mke wa rais wa Marekani, Jill Biden, ametembelea kitongoji cha Kibera na kukutana na wanawake wanaojiwezesha kwa kutumia umoja wa kujiwekea fedha.
1
Mke wa rais wa Marekani Jill Biden na waziri wa masuala ya Afrika Mashariki Rebecca Miano wahudhuria maonyesho ya ujasiriamali yaliyoandaliwa na Hello Tractor.
2
Mke wa rais wa Marekani Jill Biden na waziri wa masuala ya Afrika Mashariki Rebecca Miano wahudhuria maonyesho ya ujasiriamali yaliyoandaliwa na Hello Tractor.
3
Mke wa rais wa Marekani atembelea kanisa la AP Community katika kitongoji cha Kibera.
4
Mke wa rais wa Marekani akifuatana na mwenzake wa Kenya Rachel Ruto wahudhuria kazi za kundi la wanawake kwenye kanisa la AP Community katika kitongoji cha Kibera.
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- AFCON 2017