Wakurdi wa Iraq washiriki katika kura ya maoni juu ya ikiwa wanataka uhuru wao au la. Uchunguzi wa maoni kabla ya upigaji kura Jumatatu, unaoesha wakurdi wataunga mkono pendekezo hilo licha ya upinzani mkubwa kutoka serikali kuu ya Baghdad, mataifa jirani na Marekani.
Wakurdi wa Irak wapiga kura ya maoni juu ya uhuru
Wakurdi wa Iraq washiriki katika kura ya maoni juu ya ikiwa wanataka uhuru wao au la.

1
Katika mkutano wa kuunga mkono uhuru, mwanamke huyu anasema kura hii ya maoni ni jambo zuri kabisa kufanyika katika maisha yake, mjini Irbil, Iraqi Kurdistan, Sept. 25, 2017. (H. Murdock/VOA)

2
Wapiga kura watafuta majina yao katika kituo cha kupiga kura mjini Irbil, Iraqi Kurdistan, Sept. 25, 2017. (H. Murdock/VOA)

3
Familia za wakurdi wa Iraq wakipiga picha wanapopiga kura katika ucahguzi wa kihistoria wa kudai uhuru wao, Iraqi Kurdistan, Sept. 25, 2017. (H. Murdock/VOA)

4
Rais wa jimbo la Kurdistan nchini Irak Masoud Barzani anasema anaamini malalamiko ya kimataifa kuhusiana na kura ya maoni yatamalizika baada ya wanchi wataidhinisha pendekezo hilo. Irbil, Iraqi Kurdistan, Sept. 24, 2017. (H. Shekha/VOA)
Facebook Forum