A heat wave in India has left more than 500 people dead, and forecasters expect the punishing conditions to persist in the coming days.
Joto kali yasababisha vifo vya watu elfu moja India
1
AAbiria mmoja akijimwagia maji katika kituo cha train wakati wa joto kali kuwahi kutokea ambapo kiwango cha joto cha fika nyuzi 48 Celsius, huko Jammu, May 25, 2015.
2
Dereva wa tuktukakipumzika wakati wa wimbi la joto kali huko, Hyderabad, India, May 25, 2015.
3
Mfanyakazi anajaribu kulala ndani ya kikapu katika soko la mboga huko Kolkata, May 25, 2015.
4
Joto kali sana lawasababisha wachuzi hawa wakipumzika chini ya kivuli cha mti huko Hyderabad, May 25, 2015.