Hali ya wasi wasi nchi Misri

1
Polisi wanasimama nje ya gari lao mjini Cairo, August 20, 2013.

2
Raia wa Misri akishika gazeti la Al-Ahram likionesha picha ya kiongozi wa kidini wa Muslim Brotherhood, aliyekamatwa Cairo, August 20, 2013.

3
Maafisa wa usalama wahudhuria wanasalia maiti ya polisi kwenye uwanja wa ndege wa kijeshi wa al Almaza in Cairo. Polisi hao walouliwa karibu na mji wa mpakani wa Rafah, Sinai kaskazini siku ya jumapili, August 19, 2013.

4
Wanajeshi na watumishi wa afya wanakagua miili ya maafisa wa polisi walouliwa kwenye njia kuu ya mji wa mpakani wa Rafah, karibu kilomita 350 kaskazini mashariki ya Cairo, August 19, 2013.