Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Mei 19, 2024 Local time: 16:44

Ibada maalum kumuombea Seneta McCain yafanyika Washington

Ibada maalum iliyoandaliwa na familia kumuaga McCain imefanyika Jumamosi huko katika kanisa la kitaifa la Cathedral, Washington.

Katika ibada hiyo Rais mstaafu Barack Obama alimpongeza McCain, rafiki yake na wakati fulani akiwa mpinzani wake wa kisiasa, kwa kusema McCain aliwapa moyo Wamarekani wote “kufikia ubora zaidi, kutenda mambo bora zaidi, kujenga sifa zile walizoturithisha waasisi wa taifa letu.”

Katika ujumbe wake wa tanzia Mrepulikan mwenzie McCain, Rais mstaafu George W. Bush amesema McCain “alikuwa muungwana, siku zote akitambua kuwa wapinzani wake walikuwa bado ni wazalendo na binadamu wenzie.”

Pia viongozi mbalimbali wastaafu walihudhuria ibada hiyo.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG