Takriban watu milioni 5 kote kaskazini mashariki ya Marekani hawana umeme kufuatia kimbunga Sandy na maelfu wengine wamepoteza kabisa makazi yao. Wataalamu wanakadiria hasara itafikia karibu dola bilioni 50
Uharibifu wa kimbunga Sandy

1
Picha ya mtaa wa Breezy Point New York, iliyochukuliwa kutoka kwa ndege October 31, 2012, ambako zaidi ya nyumba 50 ziliteketea kufuatia kimbunga Sandy

2
This aerial photo shows the damage to an amusement park left in the wake of superstorm Sandy on October 31, 2012, in Seaside Heights, N.J.

3
Wasafiri wakisubiri kupanda Basi huko Brooklyn, New York kuelekea Manhattan, baada ya kufungwa kwa njia nyingi za usafiri wa chini wa chini New York.

4
Flooding in the area after the storm is widespread. Joe Donnelly of Island Park, New York shared a photo of his flooded home on Halloween, October 31, 2012. (Courtesy photo)