Kimbunga Irma kimewasili kwenye ufukwe wa Marekani kupitia visiwa vya Key West, kwa kuleta upepo mkali na mvua nyingi.
Kimbunga Irma cha sababisha hasara Florida

5
Waves crash over a seawall from Biscayne Bay as Hurricane Irma passes by in Miami, Florida, Sept. 10, 2017.

6
People walk on a damaged street after the passage of Hurricane Irma in Caibarien, Cuba, Sept. 9, 2017.

7
Uharibifu wa majengo na miti iliyoanguka huko Marigot, kwenye kiswa cha St.Martin, baada ya kupita kimbunga Irma, Sept. 9, 2017.

8
Picha iliyochukuliwa angani ikionesha uharibifu ulosababishwa na Irma katika mji wa Virgin Gorda, kwenye visiwa vya British Virgin, Sept. 8, 2017.