Kimbunga Irma kimewasili kwenye ufukwe wa Marekani kupitia visiwa vya Key West, kwa kuleta upepo mkali na mvua nyingi.
Kimbunga Irma cha sababisha hasara Florida

1
Upepo mkali wa Irma unatikisa miti ya minazi iliyopandwa hivi karibuni kando ya barabara katika pwani ya Miami Beach, Florida, Spet. 10, 2017.

2
Wenye gari lililoharibika njiani wakijaribu kurudi ndani ya gari lao wakati upepo kutokana na kimbunge Irma unatikisa kila kitu hapo njiani kwenye visiwa vya Florida Keys, in Hialeah, Sept. 10, 2017.

3
Mashua kwenye kisiwa cha Watsonikielea wakati kimbunga Irma chawasili huko kusini mwa Florida. Sept. 10, 2017.

4
A fallen tree blocks Biscayne Blvd. as Hurricane Irma arrives in Hollywood, Florida, Sept. 10, 2017.