Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Novemba 30, 2022 Local time: 20:22

Hotuba ya Hali ya Taifa : Baada ya kufunguliwa mashtaka, unatarajia nini katika hotuba ya Rais Trump?

Hotuba yake ya Hali ya Taifa inakuja baada ya kesi ya jaribio la kumuondoa madarakani kufanyika.

Waasisi wa Taifa la Marekani waliamini kuwa hotuba ya Hali ya Taifa ni muhimu sana kwa demokrasia na hivyo kuiingiza katika Katiba.

Rais “ Ni lazima baada ya kipindi fulani atoe taarifa kwa Bunge juu ya hali ya taifa,” Kifungu II, Ibara ya 3 inalazimisha hilo. Ingawaje masharti hayo hayako wazi, hotuba ya hali ya taifa imekuwa ikitolewa kila mwaka tangu George Washington alipoanzisha utamaduni kwa kutoa hotuba fupi mwaka 1790. Hotuba hiyo ilikuwa na maneno 1,089.

Baadhi ya marais wa Marekani walisema mambo yafuatayo katika hotuba zao :


Pandisha zaidi

16x9 Image

Jaffar Mjasiri

Ni Mwandishi na Msimamizi wa Mitandao ya Kijamii, VOASwahili

 

Makundi

XS
SM
MD
LG