Hillary Clinton ameweka historia licha ya changamoto za kisiasa na kibinafsi na kua mwanamke wa kwanza kushinda uteuzi wa chama kikuu cha kisiasa Marekani. Akishinda uchaguzi wa Novemba atakua mtu wa kwanza kua mke wa rais, Seneta wa New York waziri wa zamani wa mambo ya nchi za nje na kua Bibi Rais.
Maisha ya Hillary Clinton katika picha

5
Hapo Oktoba 11, 1975, Hillary aliolewa na Bill katika sherehe ndogo huko Fayetteville, Arkansas. (hillaryclinton.com)

6
Gavana. Bill Clinton, mkewe Hillary Rodham, na mtoto wao mchanga Chelsea wakipiga picha ya familia hapo , March 5, 1980. (AP Photo/Donald R. Broyles)

7
Gov. Bill Clinton of Arkansas and his wife Hillary Rodham Clinton stop at Blake’s Restaurant in Manchester, New Hampshire on Saturday, Feb. 15, 1992 for a cup of coffee prior to a door-to-door campaign drive. (AP Photo/Stephan Savoia)

8
Hillary Rodham Clinton sits on the lap of her husband, democratic presidential candidate Bill Clinton left, as she jokes with vice presidential candidate Al Gore and his wife, Tipper, during a brief rest on their bus in Durham, N.C., Monday, Oct. 26, 1992
Facebook Forum