Protesters took to the streets once again on Saturday, as the “Justice for All” march arrives in Washington, D.C. and people around the country hold their own demonstrations in solidarity with the families of Michael Brown, Eric Garner and others who have been killed by police. Attached are all photos. We have additional videos and interviews if needed.
Wamarekani waandamana dhidi ya utumiaji nguvu wa polisi
Maelfu ya watu waliandamana Washington na miji mingine mikubwa ya Marekani siku ya Jumamosi kulaani utumiaji nguvu wa polisi na hali yakuofunguliwa mashtaka. Maandamano yamefanyika hasa baada ya kuuliwa kwa raia kadhaa wenye asili ya kiafrika na hakuna polisi aliyefunguliwa mashtaka kwa mauwaji hayo.

1
Mtu akibeba bango la moja wapo ya vijana aliyeuliwa na afisa wa usalama huko Florida, wakati wa maandamano ya Washington yaliperwa jina la Justice for All

3
Waandamanaji wakati wa maandamano makubwa ya Haki kwa Wote, wakibeba mabango kueleza malalamiko yao.

4
Waandamanaji wakibeba bango linaloeleza maisha ya weusi ni muhimu pia.

6
Waandamanaji kutoka sehemu mbali mbali za jamii washiriki katika maandamano ya Washington ya Haki kwa Wote