Mcheza filamu na mtu mashuhuri asiyeowa bado, George Clooney, amevunja ahadi yake ya kuishi bila ya kufunga ndoa hapo Sept. 27 na kufunga ndoa wakili wa kutetea haki za binadam Amal Alamuddin, wakati wa sherehe ya kianasa kabisa Venice, Utaliana.
Mcheza filamu George Clooney na Amal Alamuddin wafunga pingu za maisha Venice

1
Mchezaji filamu wa kimarekani George Clooney na mkewe Amal Alamuddin wakiondoka kutoka hoteli ya kifahari ya Aman Canal Grande Venice mjini Venice, Italy, Sept. 28, 2014.

2
Mchezaji wa Kimarekani George Clooney atabasanu alipowasili kwa texi ya majini katika mahala ambako sheehe rasmi za harusi na dhifa zitafanyika huko Venice, Italy, Sept. 27, 2014.

3
George Clooney katika kipindi cha kinywaji na wageni wake katika hotel ya Cipriani kabla ya sherehe za harusi na mpenzi wake Amal Alamuddin Venice, Sept. 27, 2014.

4
George Clooney akiwapungua mono watazamaji alipokua anasafirishwa katika texi ya majini kuelekea eneo la sherehe rasmi za harusi yake huko, Sept. 27, 2014.