Usalama ulikua mkali kuwahi kutokea, pale watu 35, 755 kutoka mataifa 95 waloshiriki katika mbiyo za marathon za Boston mwaka mmoja baada ya mabomu.
Maelfu washiriki mbiyo za Marathon ya Boston
5
MMarekani Meb Keflezighi, mwenye asili ya Kieritrea (kulia) akipongezwa na mashabiki baada ya kushinda mbiyo za marathon za Boston , akiwa mwanamume wa kwanza wa mareka ni kushinda mbio hizo baada ya miongo kadhaa. Boston, Mass., April 21, 2014.
6
Kundi la kwanza la wakimbiaji 9,000 wakianza mbizo Za 118 za Boston kutoka mtaa wa Hopkinton, Mass., April 21, 2014.
7
Usalama ulikua hali ya juu kikosi maalum cha polisi cha piga doria wakati wa mbiyo za marathon za Boston, Wellesley, Mass., April 21, 2014.
8
Workers move security gates into position in front of Wellesley College in the early morning before the start of the 118th Boston Marathon, in Wellesley, Mass., April 21, 2014.