Usalama ulikua mkali kuwahi kutokea, pale watu 35, 755 kutoka mataifa 95 waloshiriki katika mbiyo za marathon za Boston mwaka mmoja baada ya mabomu.
Maelfu washiriki mbiyo za Marathon ya Boston

1
Mkenya Rita Jeptoo asherehekea ushindi wa mbiyo za Marathon ya Boston 2014

2
Mkenya Rita Jeptoo akibusu Kombe aloshinda katika mbiyo za Marathon za Boston

3
Mmarekani Meb Keflezighi, mwenye asili ya KIeritrea akifurahia ushindi wake upande ya wanaume mbiyo za marathon za Boston, April 21, 2014.

4
Laborers work on the giant bronze statue of former King Ram Khamhaeng (R) at Ratchapakdi Park in Hua Hin, Prachuap Khiri Khan province, Thailand. The park is being constructed by the Thai army to honor past Thai monarchs and is situated on an army compound near the Klai Kangwon Palace. The project is estimated to cost about 700 million baht ($19.9 million), according to local media.