Mapigano yamekuwa yakiendelea kwa wiki nzima kati ya wanajeshi wa serikali ya Kongo na wapiganaji wa M23 huko mashariki ya nchi. wanajeshi wamekomba miji yote muhimu iliyokuwa inashikiliwa na waasi
Mapigano yanayoendelea mashariki Congo

1
Wanajeshi wa Kongo wakiwasili kwa lori katika kambi ya kijeshi ya Rumangabo kambi iliyokuwa inashikiliwa na wapiganaji wa M23, Kaskazini ya Goma, Oct. 28, 2013.

2
Kifaru cha kundi la M23 kilichoaharibiwa na wanajeshi wa Kongo karibu na kambi ya kijeshi ya Rumangabo kaskazini ya Goma, Oct. 28, 2013.

3
Wakongo wanaokimbia mapigano kati ya jeshi na wapiganaji wa M23 na kutafuta maeneo ya usalama karibu na Kibumba, kaskazini ya Goma, Oct. 27, 2013.

4
Jeshi la Kongo linafyetua mizinga kutoka lori la kufyetua mizinga dhidi ya vituo vya wapiganaji wa M23 hapo Kibumba, kaskazini ya Goma, Oct. 27, 2013.