Rais wa zamani wa Fidel Castro afariki akiwa na umri wa miaka 90. Al;itawala chini ya mfumo wa chama kimoja kwa miaka 47 hadi kukabidhi madaraka kwa kakake Raul 2008.
Matukio mbali mbali katika maisha ya Fidel Castro

1
Picha tatu za vipindi mbali mbali vya maisha ya Fidel Castro, kuanzia kushoto; anavuta cigar mjini Havana, Cuba, April 29, 1961; azungumza na waandishi habari baada ya kijana Elian Gonzales kurudishwa kutoka Washington, D.C., April 6, 2000; akiwa nyumbani kwake Havana Feb. 13, 2016.

2
Rais wa Cuba Raul Castro akitangaza kwenye televisheni ya taifa kifo cha kakake kiongozi wa mapinduzi Fidel Castro,mjini Havana, Cuba Nov. 26, 2016.

3
Waziri Mkuu wa Cuba Fidel Castro akivuta cigar wakati wa mahojiano katika ikulu ya rais Havana, Cuba, March 1985.

4
Kiongozi wa Cuba Fidel Castro, kushoto, na kiongozi wa Urusi Nikita Khrushchev wakikumbatiana kwenye Umoja wa Mataifa Sept 20 1960 .