EMaelfu ya urope migrant crisis in pictures.
Janga la wahamiaji Ulaya
1
Wahamiaji wenda kwa miguu kutoka kituo kikuu cha treni mjini Dortmund, Ujerumani, hadi ukumbi watakaohudumiwa kwanza to a hall, Sept. 6, 2015.
2
Wakazi wa Dortmund wawakaribisha wahamiaji wanowasili katika kituo cha treni cha Dortmund, Ujerumani Sept. 6, 2015.
3
Wahamiaji wakisubiri usafiri hadi ukumbi mkuu wa Dortmund, Ujerumani ili kupata huduma muhimu, Sept. 6, 2015.
4
Wakimbizi na wahimaji wawasili kwa meli ya Tera Jet katika bandari ya Piraeus, karibu na mji wa Athens, Ugriki, Sept. 6, 2015.