Marekani inaadhimisha miaka 15 tangu mashambulizi ya kigaidi ya Septemba 11, 2001 magaidi walipoteka ndege na kuzigongesha katika majengo ya World Trade Center mjini New York, na Pentagon mjini Washington. Ndege ya tatu ilianguka eneo la mashambani katika jimbo la Pennsylvania.
Picha za makumbusho ya mashambulizi ya septembe 11 2001 Marekani

1
Mzima moto akitembea katika vifusi vya World Trade Center,mjini New York, le 11 Septemba 2001.

2
Rais George Bush akimkimsikiliza mkuu wa utawala wa White House akimuarifu kuhusu shambulizi la ndege ya pili alipokua katika kampeni za uchaguzi huko Florida.

3
Mwili wa moja wapo ya waathiriwa ukiondoshwa na wazima moto kutoka vifusi vya New York.

4
Picha ya shambulizi la ndege kwenye jengo la pili la World Trade Center hapo Septemba 11, 2011, inayobaki kua alama ya kukumbusha mashambulizi hayo ya kigaidi. .
Facebook Forum