Marekani inaadhimisha miaka 15 tangu mashambulizi ya kigaidi ya Septemba 11, 2001 magaidi walipoteka ndege na kuzigongesha katika majengo ya World Trade Center mjini New York, na Pentagon mjini Washington. Ndege ya tatu ilianguka eneo la mashambani katika jimbo la Pennsylvania.
Picha za makumbusho ya mashambulizi ya septembe 11 2001 Marekani
5
Mzima moto akiomba msaada wa kuweza kuingia katika vifusi vya jengo la World Trade Center.
6
Sehemu ya ukuta wa jengo la Pentagon iliyobomoka kufuatia kuanguka kwa moja wapo ya ndege zilizotekwa nyara hapo Septemba 11, 2001.
7
Wafanyakazi wa hospitali ya Saint Vincent wakiwahudumia walojeruhiwa kutoka World Trade Center New York, le 11 septembre 2001.
8
Majengo yote mawili ya Wold Trade Cente yakiporomoka baada ya kushambuliwa Septemba 11 2001.