Serikali ya Misri wiki iliyopita ilikaribisha waandishi kupiga makaburi matatu mapya ya mafarao wa zamani ambao walikufa zaidi ya miaka elfu tatu iliyopita
Misri yafungua makuburi ya zamani

1
Mchoro wa enzi za mafarao ndani ya kaburi la mfalme mmoja wa zamani, lilofunguliwa baada ya miaka mitano ya ukarabati, Luxor, Egypt, Nov. 5, 2015. (H. Elrasam/VOA)

2
Wafanyakazi wa Misri wakiondoa vifusi karibu na makaburi ya kifalme katika Bonde la Wafalme Luxor, Egypt, Nov. 5, 2015. (H. Elrasam/VOA)

3
Ingawa biashara iko chini kidogo, watalii wanaendelea kutembelea makburi hayo ya zamani, Luxor, Egypt, Nov. 5, 2015. (H. Elrasam/VOA)

4
Watalii na waandishi wa habari wakijipanga kutembelea makuburi yaliyofunguliwa upya, Luxor, Egypt, Nov. 5, 2015. (H. Elrasam/VOA)