Waziri wa safari za anga wa Misri amesema ajali ya ndege ya EgyptAir iliokuwa ikielekea Cairo kutoka Paris ina uwezekano mkubwa kuwa ilisababishwa na shambulizi la kigaidi kinyume na ilivyoshukiwa kuwa ni ajali ya kiufundi.
Ajali ya Ndege, Misri

1
Waziri Mkuu wa Misri akizungumza na waandishi wa habari katika uwanja wa ndege wa Cairo kuhusu ajali ya EgyptAir

2
Entrance of Egyptair in flight service buildingin Nassr city in Cairo, Egypt, May 19, 2016.

3
The French Ambassador arrives at Egyptair in flight service building in Nassr City in Cairo, Egypt on May 19, 2016. Passengers on flight Egypt air A320 includes 15 French passengers.

4
Brother of Amad "Egyptian" who is missing on th Egyptian flight Egyptair A320 just arrived Egyptair in flight service building in Nassr city in Cairo, Egypt on May 19, 2016.