WHO inaeleza kwamba Ebola ni ugonjwa unaoshababisha matataizo makubwa kuliko ugonjwa mwengine wowote mnami miongo kadhaa sasa.
WHO: Ebola ndio mlipuko wa ugonjwa wenye changamoto za kipekee

1
Mwalimu akionesha mkono ulopakwa rangi nyekundu kufuatia mchezo wa kuigiza wakati ya kampeni ya kuhamasisha watu juu ya hatari za Ebola, katika shule ya Anono, mjini Abidjan,Ivory Coast,Sept. 25, 2014.

2
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Afya Duniani, Margaret Chan na mcheza filamu wa Uingereza Idris Elba, wakihudhuria mkurano na waandishi habari juu ya Ebola kwenmye makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York, Sept. 25, 2014.

3
Rais wa Marekani Barack Obama akisalimiana na Mwenyekiti wA Kamisheni ya Umoja wa afrika Dk. Nkosazana Dlamini Zuma baada ya kuzungumzia Ebola kwenye mkutano wa Umoja wa Mataifa New York, Sept. 25, 2014.

4
Wanafunzi wanakosha mikono kama hatua ya king dhidi ya Ebola katika shule ya Anono, Abidjan, Ivory Coast, Sept. 25, 2014.