Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Machi 27, 2023 Local time: 16:10
VOA Direct Packages

Duniani Leo: Disemba 30: Wananchi wa Kivu na Ituri wapaza sauti juu ya usalama wao


Duniani Leo: Disemba 30: Wananchi wa Kivu na Ituri wapaza sauti juu ya usalama wao
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

DRC imeshuhudia matukio kadhaa mwaka 2021, kilio kikubwa cha wananchi wa Kivu kaskazini na Ituri, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.

Ndugu watoa heshima zao za mwisho kwa hayati Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Desmond Tutu.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

Makundi

XS
SM
MD
LG