Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Februari 02, 2023 Local time: 23:28
VOA Direct Packages

Duniani Leo: Disemba 23: Operesheni za kijeshi DRC zaonyesha mafanikio makubwa


Duniani Leo: Disemba 23: Operesheni za kijeshi DRC zaonyesha mafanikio makubwa
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Operesheni za kijeshi za kupambana na waasi zinazofanywa na muungano wa majeshi ya Uganda na DRC katika eneo la Beni kaskazini zaonyesha mafanikio makubwa.


Hali ya sintofahamu yazuka Libya baada ya uchaguzi kuahirishwa, mchakato wa amani waingia dosari, serikali ya mpito ikiwa mashakani.

Idadi ya kesi zilizo thibitishwa za COVID-19 Marekani zaongezeka kufikia milioni 50 hadi Jumatano

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari


Makundi

XS
SM
MD
LG