Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Machi 12, 2026 Local time: 12:03
VOA Direct Packages

Duniani Leo : Agosti 27 : Marekani inatazamia mashambulizi zaidi kutoka kwa ISIS-K


Duniani Leo : Agosti 27 : Marekani inatazamia mashambulizi zaidi kutoka kwa ISIS-K
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Jenerali Mckenzie wa Jeshi la Marekani asema makamanda wa Marekani wanatazamia mashambulizi zaidi ya ISIS-K kutokea Kabul, Afghanistan na imejiandaa kujihami.

- Katibu Mkuu wa UN atoa tahadhari ya kusambaa ghasia nchini Ethiopia.

- Rais wa zamani wa Nigeria Obasanjo ateuliwa kuwa Mjumbe wa Umoja wa Afrika kwa Pembe ya Afrika

Makundi

XS
SM
MD
LG