Rais Barack Obama, mgombea mwenza Tim Kaine na makamu rais Joe Bidenj wamewika kwenye siku ya tatu ya mkutano mkuu wa chama cha demokratik mjini Philadelphia.
Siku ya tatu ya Mkutano Mkuu wa chama cha Demokratik
13
Mgombea mwenza wa chama cha Demokratik, Sen. Tim Kaine akihutubia mkutano wa Philadelphia, July 27, 2016.
14
Mjumbe akitumia lugha ya ishara kuwaarifu wajumbe viziwi na mabubu kwenye mkutano wa Philadelphia, July 27, 2016.
15
Rais Barack Obama wa Marekani akipanda jukwani kuhutubia mkutano mkuu wa chama cha Demokratik mjini Philadelphia, Pennsylvania, July 27, 2016.
16
Mgombea kiti cha rais wa chama cha Demokratik Hillary Clinton ajitokeza na kumkumbatia Rais Obama mara tu baada ya kuwaomba wajumbe kumunga mkono katika uchaguzi wa rais.