Papa Benedict atoa wito wa kukomeshwa umwagikaji damu Syria, Lebanon, Irak na kwengineko, wakati wakristo wakisherekea Krismasi kote duniani.
Wakristo washerekea Krismasi kote duniani

1
Papa Benedict akitoa hotuba yake "Urbi et Orbi" (kwa Mji na kwa Dunia) kutokea baraza la kanisa la St. Peter's Basilica, huko Vatican, December 25, 2012.

2
Walinzi wa Vatican kutoka Uswisi katika gwaride mbele ya uwanja wa St. Peter, huko Vatican, December 25, 2012.

3
Burmese Christians gather outside the St. Anthony's Catholic Church Rangoon, Burma, December 25, 2012.

4
Civilians in Santa Claus hats and service members with the NATO-led International Security Assistance Force wait to be served Christmas dinner at the U.S.-led coalition base in Kabul, Afghanistan, December 25, 2012.