Wakristo kote duniani wanasherekea Pasaka, siku ambayo wanaamini Yesu alifufuka siku tatu baada ya kusulubiwa. Papa Francis aliadhimisha siku hiyo kwa misa kwenye uwanja wa St. Peter's mjini Vatican.
Wakristo washerekea Pasaka
5
Postal clerk Pamela Bentley shovels snow in front of the U.S. Post Office in Grafton, New York.
6
Kadinali John Njue wa kanisa la Kikatoliki Kenya akifuatana na waumini abeba Msalaba na kupita katika barabara za Nairobi.
7
Mkuu wa kanisa la Kikatholiki Kenya Kadinali John Njue (katikati) atizama wakiigiza kusulubiwa kwa Yesu mjini Nairobi.
8
Iraqis women light candles after the Palm Sunday service at Lady Deliverance Church in Baghdad, April 5, 2015.