Wakristo kote duniani wanasherekea Pasaka, siku ambayo wanaamini Yesu alifufuka siku tatu baada ya kusulubiwa. Papa Francis aliadhimisha siku hiyo kwa misa kwenye uwanja wa St. Peter's mjini Vatican.
Wakristo washerekea Pasaka

1
Papa Francis akiomba dua yake ya Urbi et Orbi (kwa mji na dunia) mwishoni mwa Misa ya Jumapili ya Pasaka katika uwanja St. Peter's Square mjini Vatican , April 5, 2015.

2
Waumini wasubiri kwenye mvua kwa papa Francis kuwasili kwa Misa ya Pasaka kwenye uwanja wa St.Peter's Square, Vatican, April 5, 2015.

3
Papa Francis akiomba dua yake ya Urbi et Orbi (kwa mji na dunia) kutoka baraza la dirisha la St. Peter's Vatican, April 5, 2015

4
Pope Francis salutes faithful in St. Peter's square at the Vatican, April 5, 2015.